Mithali 25:14 “Kama mawingu na upepo pasipo mvua; Ndivyo alivyo yeye ajisifiaye karama kwa uongo”. Njia nyingine shetani anayoitumia kuwaangusha watu na kudanganya watu, ni kupitia “karama za uongo”.. Hii inatokea pale ambapo mtu anajipandikiza karama ambayo hana, na anajitangaza kuwa anayo kwa wote, jambo ambalo lina madhara makubwa sana kiroho. Zifuatazo ni ishara za … Continue reading USIJISIFIE KARAMA KWA UONGO.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed