Nanyi mtamweka hata siku ya kumi na nne ya mwezi ule ule(Kutoka 12:4)

SWALI: Bwana yesu apewe sifa, Naomba kufahamu, Kwanini Wana wa Israeli walimuhifadhi mwana-kondoo siku nne kabla ya kuchinjwa katika sikukuu ya pasaka.Je Kuna ufunuo gani tunaweza kupata katika Tendo hilo (Kutoka 12:6) JIBU: Tusome.. Kutoka 12:3-7 [3]Semeni na mkutano wote wa Israeli, mkawaambie, Siku ya kumi ya mwezi huu kila mtu atatwaa mwana-kondoo, kwa hesabu … Continue reading Nanyi mtamweka hata siku ya kumi na nne ya mwezi ule ule(Kutoka 12:4)