USINIPE UMASKINI WALA UTAJIRI. (Mithali 30)

Jina la Bwana Yesu litukuzwe Daima. Nakukaribisha katika kuyatafakari maneno ya Mungu. Lipo andiko ambalo tunaweza kuona ni la kinyonge lakini linatiba kubwa sana kama tukilitumia. Embu tuone ni nini mwandishi huyu mwenye hekima  aliomba Kwa Bwana  Mithali 30:7-9 [7]Mambo haya mawili nimekuomba;  Usininyime [matatu] kabla sijafa. [8]Uniondolee ubatili na uongo;  Usinipe umaskini wala utajiri;  … Continue reading USINIPE UMASKINI WALA UTAJIRI. (Mithali 30)