DALILI TISA (9) ZA PEPO KUWEPO NDANI YA MTU.

Hizi ni dalili 9 za mtu mwenye pepo. 1.Hofu. Ukiona kuna hofu ndani yako isiyoisha, kila wakati unaishi katika hali ya  wasiwasi wa kitu usichokijua wala usichokiona, kila wakati unapata mshtuko na mkandamizo mkubwa wa mawazo, furaha inakuwa haidumu ndani yako, dakika yoyote unaona au unahisi kama utapoteza maisha..hizo ni roho chafu za mapepo zimekuingia, … Continue reading DALILI TISA (9) ZA PEPO KUWEPO NDANI YA MTU.