Biblia inaposema Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana, Inamaana gani?
SWALI: Biblia ilimaanisha nini iliposema Kaini ‘Akatoka mbele ya uso wa Bwana’. Kutoka kule kulimaanisha nini? JIBU: Tunaona baada ya Kaini kumuua ndugu yake Habili kwa wivu, ambao ulizuka baada ya sadaka yake kukataliwa na ya ndugu yake kukubaliwa. Mungu alimsemesha, na kumweleza laana yake itakayompata baada ya pale. Lakini mwisho wa maneno yale, Tunaona … Continue reading Biblia inaposema Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana, Inamaana gani?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed