Neno vuruvuru linamaanisha nini katika biblia?
JIBU: Kibiblia ni neno linalomaanisha “mvurugano” au “mvurugiko” Neno hilo utalisoma katika kifungu hiki; Isaya 17:13 “Mataifa wananguruma kama ngurumo ya maji mengi; Lakini atawakemea, nao watakimbia mbali sana, Watafukuzwa kama makapi milimani mbele ya upepo, Na kama mavumbi vuruvuru mbele ya tufani. 14 Wakati wa jioni, tazama, kuna hofu; Na kabla ya mapambazuko hawako; … Continue reading Neno vuruvuru linamaanisha nini katika biblia?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed