ALIPOKUWA ANGALI MBALI, BABA YAKE ALIMWONA.
Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo Bwana wetu. Karibu katika kujifunza maneno ya uzima ya mwokozi wetu. Leo tutaona jinsi “moyo wa toba ya kweli” unavyopokelewa kitofauti sana na Mungu. Kama tunavyoifahamu ile habari ya mwana mpotevu, jinsi alivyoingiwa na tamaa, ya kwenda kuanzisha maisha yake ya anasa mbali na baba yake. Na siku zilipozidi … Continue reading ALIPOKUWA ANGALI MBALI, BABA YAKE ALIMWONA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed