TEMBEA NDANI YA SUKOTHI YAKO.-Maafundisho maalumu kwa watumishi

Mafundisho maalumu Kwa ajili ya watumishi wa Mungu. Huu ni mwendelezo wa mafundisho maalumu Kwa ajili watumishi wa Mungu, ikiwa wewe ni Mchungaji, mwalimu, mtume, askofu,Nabii, au mtu yoyote unayemtumikia Mungu katika nafasi yoyote kanisani au kwenye huduma basi mafundisho haya yatakufaa sana. Wakati ule Yakobo alipodhamiria kwenda kukutana na ndugu yake Esau baada ya … Continue reading TEMBEA NDANI YA SUKOTHI YAKO.-Maafundisho maalumu kwa watumishi