Maana yake nini, Mwe na hofu wala msitende dhambi? (Zaburi 4:4)

Swali: Ni hofu gani inazungumziwa katika Zaburi 4:4? Jibu: Turejee, Zaburi 4:4 “Mwe na hofu wala msitende dhambi, Tafakarini vitandani mwenu na kutulia,