Maana yake nini, Mwe na hofu wala msitende dhambi? (Zaburi 4:4)
Swali: Ni hofu gani inazungumziwa katika Zaburi 4:4? Jibu: Turejee, Zaburi 4:4 “Mwe na hofu wala msitende dhambi, Tafakarini vitandani mwenu na kutulia, 5 Toeni dhabihu za haki, Na kumtumaini Bwana”. Hapa maandiko yanasema “Mwe na hofu WALA msitende dhambi” haisemi “Mwe na hofu ILA msitende dhambi” Kana kwamba hiyo hofu ikizidi sana italeta madhara, … Continue reading Maana yake nini, Mwe na hofu wala msitende dhambi? (Zaburi 4:4)
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed