DHABIHU ZA ROHO NI ZIPI? (1Petro 2:5)
SWALI: Dhabibu za roho ni zipi, zinazotajwa kwenye maandiko haya? 1Petro 2:5 “Ninyi nanyi, kama mawe yaliyo hai, mmejengwa mwe nyumba ya Roho, ukuhani mtakatifu, mtoe dhabihu za roho, zinazokubaliwa na Mungu, kwa njia ya Yesu Kristo”. Dhabihu ni sadaka za kuteketezwa zilizokuwa zinatolewa katika agano la kale. Hizi zilikuwa na lengo la kufanya upatanisho … Continue reading DHABIHU ZA ROHO NI ZIPI? (1Petro 2:5)
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed