Je Paulo na Petro walishindania nini? (Wagalatia 2:11).
Swali: Kwanini Petro na Paulo walishindana na pia tunajifunza nini katika kushindana kwao?. Jibu: Tusome, Wagalatia 2:11 “Lakini Kefa alipokuja Antiokia, nalishindana naye uso kwa uso, kwa sababu alistahili hukumu” Kushindana kunakozungumziwa hapo si kushindana kwa maneno ya dini kule kunakozungumziwa katika 1Timotheo 6:4, 2Timitheo 2:14 na Wafilipi 2:14, kwamba tutende mambo yote pasipo mashindano … Continue reading Je Paulo na Petro walishindania nini? (Wagalatia 2:11).
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed