KANUNI YA KUOMBA NA KUPOKEA.

Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia Neno la Mungu wetu lililo taa ya miguu yetu na Mwanga wa njia yetu (Zab.119:105). Ni muhimu kujua kanuni kadhaa za kuomba ili maombi yetu yawe na majibu. Tumewahi kujifunza kanuni kadhaa huko nyuma na leo imempendeza Bwana tujifunze kanuni nyingine. Neno la … Continue reading KANUNI YA KUOMBA NA KUPOKEA.