Fahamu maana ya Mhubiri 10:9 Mwenye kuchonga mawe ataumizwa kwayo;
SWALI: Nini maana ya Mhubiri 10:9 Mwenye kuchonga mawe ataumizwa kwayo; Naye apasuaye miti huona hatari katika hiyo. JIBU: Mstari huu unatuonyesha hatari ya kazi yoyote inayotendwa na mtu. Hapo ametumia mfano wa wanaochonga mawe. Wajenzi wa zamani walikwenda kuchonga mawe miambani kwa ajili ya ujenzi wa majengo yao, lakini wakiwa kule walikutana na hatari … Continue reading Fahamu maana ya Mhubiri 10:9 Mwenye kuchonga mawe ataumizwa kwayo;
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed