NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE.
Karibu tujifunze biblia. (Masomo maalumu kwa wanandoa). Waebrania 13:4 “Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu”. Hapa biblia inataja vitu viwili; 1) NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE, na 2) MALAZI YAWE SAFI. Tutazame moja baada ya lingine. 1.NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE. Hapa … Continue reading NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed