Msiwe na tabia ya kupenda fedha Waebrania 13:5

Kwanini Mungu  anasema tusiwe na ‘tabia’ ya kupenda fedha? Tuwe radhi na vitu tulivyo navyo?. Ujasiri gani unaotaka kutuaminisha kwa kauli hiyo katika zama hizi ambazo tunajua bila fedha huwezi kutatua changamoto nyingi za kimaisha? Waebrania 13:5  Msiwe na tabia ya kupenda fedha; mwe radhi na vitu mlivyo navyo; kwa kuwa yeye mwenyewe amesema, Sitakupungukia … Continue reading Msiwe na tabia ya kupenda fedha Waebrania 13:5