MWONGOZO WA MAOMBI YA KUJIKUZA KIROHO.

Ikiwa wewe umeokoka, na una kiu kweli ya kumkaribia Mungu wako katika viwango vya juu. Basi fahamu huna budi ujikuze kiroho. Na ukuaji huo hutegemea mambo mawili makuu “Neno pamoja na maombi”. Katika tovuti hii yapo mafundisho mbalimbali yatakayokusaidia kupiga hatua hizo. Makala hii imeegemea zaidi katika Maombi. Hivyo huu ni mwongozo wa Wiki kwa … Continue reading MWONGOZO WA MAOMBI YA KUJIKUZA KIROHO.