Nini maana ya mbingu na nchi zitapita lakini maneno yangu hayatapita kamwe? (Mathayo 24:35).

Jibu: Turejee, Mathayo 24:35  “Mbingu na nchi zitapita; lakini maneno yangu hayatapita kamwe” Ili tuelewe vizuri, tutafakari kwanza mstari ufuatao…