Nini maana ya mbingu na nchi zitapita lakini maneno yangu hayatapita kamwe? (Mathayo 24:35).

Jibu: Turejee, Mathayo 24:35  “Mbingu na nchi zitapita; lakini maneno yangu hayatapita kamwe” Ili tuelewe vizuri, tutafakari kwanza mstari ufuatao… Waebrania 13:8 “Yesu Kristo ni yeye yule, jana na leo na hata milele”. Mpaka maandiko yaseme kuwa “Yesu Kristo ni yeye yule, jana na leo na hata milele”… Maana yake kuna watu, au vitu ambavyo … Continue reading Nini maana ya mbingu na nchi zitapita lakini maneno yangu hayatapita kamwe? (Mathayo 24:35).