Falaki ni elimu gani? (Isaya 47:13).

Falaki ni nini katika biblia? Jibu: Turejee, Isaya 47:12 “Simama sasa na uganga wako, na wingi wa uchawi wako, uliojitaabisha nao tangu ujana wako; labda utaweza kupata faida, labda utaweza kushinda.  13 Umechoka kwa wingi wa mashauri yako; basi, na WASIMAME HAO WAJUAO FALAKI, wazitazamao nyota, watabirio kila mwezi mambo ya mwezi huo, wakakuokoe na … Continue reading Falaki ni elimu gani? (Isaya 47:13).