Yahu ni nani? (Wimbo 8:6).

Jibu: Turejee, Wimbo 8:6 “Nitie kama muhuri moyoni mwako, Kama muhuri juu ya mkono wako; Kwa maana upendo una nguvu kama mauti, Na wivu ni mkali kama ahera. Mwako wake ni mwako wa moto, Na miali yake ni MIALI YA YAHU”. “YAHU” ni jina lingine la “YAHWE” ambalo ndilo “YEHOVA”. Kutoka 6:2 “Kisha Mungu akasema … Continue reading Yahu ni nani? (Wimbo 8:6).