ONA FAHARI JUU YA BWANA.

Je! Unaona Fahari juu ya nini? Ni kitu gani unachokionea Fahari?.. Je ni mali?, ni vyeo?, au uwezo ulio nao?.. Kama Bwana amekujali kukupa hivyo vyote, basi mshukuru lakini usijionee fahari juu ya hivyo, kwasababu vyote hivyo ni “UBATILI”….bali ona FAHARI juu ya BWANA YESU kama umeshamjua!. Kwasababu kumjua YESU ni UTAJIRI mkubwa, na CHEO … Continue reading ONA FAHARI JUU YA BWANA.