Ulimwengu wa Roho ni nini? Na mtu anawezaje kuwa wa rohoni?
Kwa tafsiri za kiulimwengu, ulimwengu wa roho Ni ulimwengu usioonekana kwa macho ambao unasadikika viumbe kama malaika, mapepo, au roho za wafu huishi na kutenda kazi. Na kwamba vyenyewe ndio vinavyoyaathiri maisha ya ulimwengu huu unaoonekana. Na kwamba ili mtu aweze kutembea vizuri hapa duniani hana budi kufahamu au kuwasiliana navyo, ili viwape taarifa, au … Continue reading Ulimwengu wa Roho ni nini? Na mtu anawezaje kuwa wa rohoni?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed