Mtande ni nini? Ni funzo gani lipo nyuma yake?

Neno hilo utalisoma katika vifungu hivi. Waamuzi 16:13 Delila akamwambia Samsoni, Hata sasa umenidhihaki, umeniambia maneno ya uongo; niambie sasa, waweza kufungwa kwa kitu gani? Akamwambia, Ukivifuma hivi vishungi saba vya nywele za kichwa changu katika mtande wa nguo.  14 Basi akazifunga kwa msumari, akamwambia Samsoni, Wafilisti wanakujia. Naye akaamka usingizini, akaung’oa ule msumari, na … Continue reading Mtande ni nini? Ni funzo gani lipo nyuma yake?