Maana ya Mithali 30:33 Kwa maana kupiga maziwa huleta siagi
SWALI: Naomba kuelewa tafsiri ya mithali 30:32-33, isemayo; Mithali 30:32 Ikiwa umefanya kipumbavu kwa kujikuza; Au ikiwa umewaza mabaya; Basi weka mkono wako juu ya kinywa chako. 33 Kwa maana kupiga maziwa huleta siagi; Na kupiga pua hutokeza damu; kadhalika kuchochea hasira hutokeza ugomvi. JIBU: Hekima inatueleza matokeo ya kila tendo linapofanyiwa kazi liwe ni … Continue reading Maana ya Mithali 30:33 Kwa maana kupiga maziwa huleta siagi
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed