Ni kelele gani zinazozungumziwa hapo katika Waefeso 4:31.

Waefeso 4:31 “Uchungu wote na ghadhabu na hasira NA KELELE na matukano yaondoke kwenu, pamoja na kila namna ya ubaya”. Kelele zinazozungumziwa hapo ni kelele za  “Maneno” , kelele za “Maombi” na kelele za “Nyimbo” 1.KELELE ZA MANENO. Hizo ni zile kelele zinazotokana na malumbano yasiyo na msingi wa kiroho, au mashindano ya maneno. Watu … Continue reading Ni kelele gani zinazozungumziwa hapo katika Waefeso 4:31.