NIONDOLEENI KELELE ZA NYIMBO ZENU (Amosi 5:23)

Amosi 5:23 “Niondoleeni KELELE ZA NYIMBO ZENU; kwa maana sitaki kuzisikia sauti za vinanda vyenu”. Je ni kwamba Mungu wetu hapendezwi na nyimbo tunazomwimbia?? Jibu ni la! Yeye anapendezwa na nyimbo na tena anaketi katika SIFA. Zaburi 22:3 “Na Wewe U Mtakatifu, Uketiye juu ya sifa za Israeli”. Lakini kwanini aseme “niondoleeni kelele za nyimbo … Continue reading NIONDOLEENI KELELE ZA NYIMBO ZENU (Amosi 5:23)