MAMBO NANE (8), AMBAYO WEWE KAMA KIONGOZI UTAIGWA.

Uwapo katika nafasi yoyote ya uongozi, katika kanisa au kwenye huduma, labda mchungaji, mwalimu, mtume, nabii, shemasi, askofu, mzee wa kanisa. Na una watu walio chini yako, fahamu mambo ambayo utaigwa, Na hivyo kuwa makini sana katika maeneo hayo uyajenge. Mtume Paulo aliyaona kwa mwanawe Timotheo, akayaandika; 2 Timotheo 3:10-11 [10]BALI WEWE UMEYAFUATA mafundisho yangu, na … Continue reading MAMBO NANE (8), AMBAYO WEWE KAMA KIONGOZI UTAIGWA.