Apitaye cheo ni mtu wa namna gani?
Jibu: Turejee.. 2Yohana 1:9 “KILA APITAYE CHEO, wala asidumu katika mafundisho ya Kristo, yeye hana Mungu. Yeye adumuye katika mafundisho hayo, huyo ana Baba na Mwana pia”. “Cheo” ni neno lenye maana ya “Kipimo”.. > Kwamfano Mtu mwenye kipimo kikubwa cha heshima katika kazi/shughuli fulani maana yake huyo mtu ana cheo kikubwa katika kazi hiyo… … Continue reading Apitaye cheo ni mtu wa namna gani?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed