Mwandishi wa kitabu cha Filemoni ni nani?

Mwandishi wa kitabu cha Filemoni Kitabu cha Filemoni ni moja ya nyaraka ambazo mtume Paulo aliziandika akiwa kifungoni Rumi.  Waraka huu alimuandikia Filemoni mtu ambaye alimgeuza yeye mwenyewe katika injili yake. Baadaye akawa mtendakazi katika utumishi wa Bwana, katika nyumba yake mwenyewe. Na kuwa Baraka kwa watakatifu wengi huko Kolosai. Filemoni 1:2 “na kwa Afia, … Continue reading Mwandishi wa kitabu cha Filemoni ni nani?