Epafra ni nani katika biblia? (Wakolosai 1:7)
Epafra ndiye alikuwa mwangalizi wa kanisa la Kolosai, Paulo alimtambua kama mhuhudumu mwaminifu wa Kristo. Kiasili naye pia alikuwa mwenyeji wa mji huo huo wa kolosai kufuatana na kauli Paulo aliyoisema katika Wakolosai 4:12, “aliye mtu wa kwenu” Waraka huu unaonyesha Epafra kama mhudumu ‘mwaminifu’ wa Kristo. Ikiwa na maana alijitoa kikamilifu kwenye kazi ya … Continue reading Epafra ni nani katika biblia? (Wakolosai 1:7)
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed