KILINDI CHAPIGIA KELELE KILINDI.
Zaburi 42:7 [7]Kilindi chapigia kelele kilindi kwa sauti ya maboromoko ya maji yako, Gharika zako zote na mawimbi yako yote yamepita juu yangu. Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo. Karibu tutafakari pamoja Neno la Mungu. Biblia inatuambia kila jambo tunalolifanya lina matokeo sawa rohoni. Ikiwa wewe ni mwizi malipo ya wizi utayapata rohoni, ikiwa … Continue reading KILINDI CHAPIGIA KELELE KILINDI.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed