Ayubu alimaanisha nini kusema ‘nami nitarudi tena huko uchi vilevile;?
SWALI: Ayubu alimaanisha nini kusema..Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nili uchi, nami nitarudi tena huko uchi vilevile; Aliwezaje kurudi tena tumboni mwa mama yake tena uchi je hilo jambo linawezekana? JIBU: Kauli hiyo aliisema Ayubu baada ya kupotelewa na familia yake na mali zake. Lakini Kwa ujasiri akamtukuza Mungu katika hali hiyo pia, kwa … Continue reading Ayubu alimaanisha nini kusema ‘nami nitarudi tena huko uchi vilevile;?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed