Watu wa nyumbani mwa Kaisari ni watu gani? (Wafilipi 4:22).

Swali: Watu wa nyumbani mwa Kaisari wanaotajwa na Mtume Paulo katika Wafilipi 4:22 walikuwa ni watu wa aina gani? Jibu: Turejee… Wafilipi 4:21 “Mnisalimie kila mtakatifu katika Kristo Yesu. Ndugu walio pamoja nami wawasalimu.  22 Watakatifu wote wawasalimu, hasa wao walio wa NYUMBANI MWA KAISARI” Kaisari anayezungumziwa hapo ni yule mfalme mkuu wa Rumi (ambaye … Continue reading Watu wa nyumbani mwa Kaisari ni watu gani? (Wafilipi 4:22).