Kuwanda ni kufanya nini?

Jibu: Turejee.. Waamuzi 3:17 “Kisha akamsongezea Egloni, mfalme wa Moabu, hiyo tunu; basi Egloni alikuwa ni mtu AYELIWANDA sana”. Kuwanda ni kiswahili kingine cha “kunenepa sana”.. Hivyo mtu aliyewanda maana yake ni “mtu aliyenenepa sana”. Hivyo mstari huo wa Waamuzi 3:17 unaweza kueleweka hivi… Waamuzi 3:17 “Kisha akamsongezea Egloni, mfalme wa Moabu, hiyo tunu; basi … Continue reading Kuwanda ni kufanya nini?