Swali: Madongoa kama inavyosomeka katika Ayubu 7:5, ni kitu gani, na ina ujumbe gani kiroho?. Jibu: Turejee.. Ayubu 7:5 “Mwili wangu unavikwa mabuu na MADONGOA YA UDONGO; Ngozi yangu hufumba, kisha ikatumbuka tena”. Madongoa ni udongo ulioshikamana pamoja, sawasawa na Ayubu 38:38.. Ayubu 38:38 “Wakati mavumbi yagandamanapo, Na madongoa kushikamana pamoja?” Kikawaida ardhi yenye Madongoa … Continue reading Madongoa ni nini? (Ayubu 7:5)
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed