Je yale Makabila kumi na mawili ya Israeli, kila kabla lilikuwa na kazi gani maalumu?

Wana kumi na mbili wa Yakobo ndio waliozaa makabila 12 ya Israeli. Majina yao ni kama yafuatavyo; Reubeni Simeoni Lawi Yuda Dani Natali Gadi Asheri Isakari