Aponywa Ukimwi.

Jina langu ni Stella Ayong kutoka Buea, Kusini Magharibi mwa Kameruni, Napenda kushudia matendo makuu ya ajabu ambayo Bwana Yesu amenifanyia katika maisha yangu. Mimi nilizaliwa nje ya ndoa na wazazi wangu mwaka 1973. Ni mtoto wa tatu katika familia, lakini ni binti wa kwanza wa mama yangu, ambaye baadaye alikuja kuolewa , lakini alitelekezwa …

Aponywa Ukimwi. Read More »

Ameponywa kansa iliyokuwa katika hatua ya Nne.

Hakuna mtu angependa kupokea aina ya taarifa niliyoipokea mimi kwenye simu kutoka kwa daktari wangu. Daktari Alisema Shirley umetafunwa na kansa sana sio tu kwenye matiti yako bali mpaka kwenye mifupa yako, na viungo vyako vya ndani,na mpaka kwenye tezi zako. Kwa kweli nililia sana nikajiuliza, hii inawezakanikaje kwani nimekuwa nikimtumikia Mungu maisha yangu yote, …

Ameponywa kansa iliyokuwa katika hatua ya Nne. Read More »

×

Powered by WhatsApp Chat

× Karibu tukuhudumie..