Hakuna kama Bwana
Yesu ni Bwana wa mabwana na Mfalme wa wafalme
Yesu ni Bwana wa mabwana na Mfalme wa wafalme
Jina langu ni Stella Ayong kutoka Buea, Kusini Magharibi mwa Kameruni, Napenda kushudia matendo makuu ya ajabu ambayo Bwana Yesu amenifanyia katika maisha yangu. Mimi nilizaliwa nje ya ndoa na wazazi wangu mwaka 1973. Ni mtoto wa tatu katika familia, lakini ni binti wa kwanza wa mama yangu, ambaye baadaye alikuja kuolewa , lakini alitelekezwa …
Powered by WhatsApp Chat