Neno “Via” linamaanisha nini katika biblia?

by Nuru ya Upendo | 15 October 2020 08:46 pm10

Kibiblia via ni viungo vya mwili wa mwanadamu au mnyama,, husasani  mikono au miguu.

Hivi ni baadhi ya vifungu vinavyolitaja Neno hilo;

Ayubu 17: 7 “Jicho langu nalo limekuwa giza kwa sababu ya majonzi, Na via vyangu vyote vimekuwa kama kivuli”.

Ayubu 18:13 “Utakula via vya mwili wake, Naam, mzaliwa wa kwanza wa mauti atavila via vyake”.

Ayubu 41:12 “Sitanyamaa kusema habari za via vyake, Wala nguvu zake kuu, wala umbo lake zuri”.

Shalom.

jiunge na channel yetu Kwa kubofya hapa >> WHATSAPP[1]

Tazama mana ya maneno mengine chini;

Je utapenda tuwe tunakutumia mafundisho ya Neno la Mungu ya mara kwa mara kwa njia ya email yako au Whatsapp?  basi kama ni hivyo tutumie ujumbe kwenye namba hii +255 789001312 / 0693036618

Mada Nyinginezo:

Nyungu ni nini kibiblia?(Ayubu 41:20,31, Waamuzi 6:19)[2]

Neno Korbani linamaanisha nini? (Marko 7:11)[3]

Jabari ni nini, kama linavyotumika kwenye biblia?[4]

USIPIGE MATEKE MCHOKOO![5]

UTAJI ULIOKUWA JUU YA USO WA MUSA.[6]

Rudi Nyumbani:[7]

WhatsApp
DOWNLOAD PDF
Endnotes:
  1. WHATSAPP: https://whatsapp.com/channel/0029VaBVhuA3WHTbKoz8jx10
  2. Nyungu ni nini kibiblia?(Ayubu 41:20,31, Waamuzi 6:19): https://wingulamashahidi.org/2020/10/14/nyungu-ni-nini-kibibliaayubu-412031-waamuzi-619/
  3. Neno Korbani linamaanisha nini? (Marko 7:11): https://wingulamashahidi.org/2020/08/17/neno-korbani-linamaanisha-nini-marko-711/
  4. Jabari ni nini, kama linavyotumika kwenye biblia?: https://wingulamashahidi.org/2020/09/13/jabari-ni-nini-kama-linavyotumika-kwenye-biblia/
  5. USIPIGE MATEKE MCHOKOO!: https://wingulamashahidi.org/2019/07/10/usipige-mateke-mchokoo/
  6. UTAJI ULIOKUWA JUU YA USO WA MUSA.: https://wingulamashahidi.org/2019/07/23/utaji-uliokuwa-juu-ya-uso-wa-musa/
  7. Rudi Nyumbani:: https://wingulamashahidi.org

Source URL: https://wingulamashahidi.org/2020/10/15/neno-via-linamaanisha-nini-katika-biblia/