Neno “Via” linamaanisha nini katika biblia?

by Admin | 15 October 2020 08:46 pm10

Kibiblia via ni viungo vya mwili wa mwanadamu au mnyama,, husasani  mikono au miguu.

Hivi ni baadhi ya vifungu vinavyolitaja Neno hilo;

Ayubu 17: 7 “Jicho langu nalo limekuwa giza kwa sababu ya majonzi, Na via vyangu vyote vimekuwa kama kivuli”.

Ayubu 18:13 “Utakula via vya mwili wake, Naam, mzaliwa wa kwanza wa mauti atavila via vyake”.

Ayubu 41:12 “Sitanyamaa kusema habari za via vyake, Wala nguvu zake kuu, wala umbo lake zuri”.

Shalom.

Tazama mana ya maneno mengine chini;

Je utapenda tuwe tunakutumia mafundisho ya Neno la Mungu ya mara kwa mara kwa njia ya email yako au Whatsapp?  basi kama ni hivyo tutumie ujumbe kwenye namba hii +255 789001312

Mada Nyinginezo:

Nyungu ni nini kibiblia?(Ayubu 41:20,31, Waamuzi 6:19)

Neno Korbani linamaanisha nini? (Marko 7:11)

Jabari ni nini, kama linavyotumika kwenye biblia?

USIPIGE MATEKE MCHOKOO!

UTAJI ULIOKUWA JUU YA USO WA MUSA.

Rudi Nyumbani:

DOWNLOAD PDF
WhatsApp

Source URL: https://wingulamashahidi.org/2020/10/15/neno-via-linamaanisha-nini-katika-biblia/