Hili ni Darasa Maalumu la mwamini mpya, Ni mpangilio wa mambo ya msingi ya kuzingatia tangu siku alipookoka, ambayo anapaswa ayafahamu kama madarasa ya awali ya wokovu. Bila kuwa na msingi huu wa mafundisho haiwezekani kusimama imara katika safari yako ya wokovu.
Ahadi Ya Roho Mtakatifu kwa Mwamini Mpya.
Namna sahihi ya kusoma Neno la Mungu (Biblia).
Maombi kama sehemu ya maisha ya mwamini mpya.
Kanisa kama sehemu ya maisha ya mwamini mpya.
Uinjilisti kama agizo kuu la Bwana.
Vita vya kiroho, na mwamini Mpya.
Nyakati za Mwisho na Tumaini la Utukufu kwa Mwamini Mpya
Washirikishe na wengine habari hizi njema kwa kushea
Ikiwa utapenda kupata msaada wa kumpokea Yesu maishani mwako bure, Basi wasiliana nasi kwa namba uzionazo chini ya makala hii.
Pia kwa kupokea mafundisho ya kila siku kwa njia ya WHATSAPP, jiunge na channel yetu kwa kubofya link hii >> https://whatsapp.com/channel/0029VaBVhuA3WHTbKoz8jx10
Kwa mawasiliano: +255693036618 au +255789001312
Bwana akubariki.
Mafundisho mengine: