Machapisho Mapya

ByNuru ya Upendo Jun 7, 2026

ONGEZA NGUVU ZAKO ZA ROHONI.

Jina la Bwana YESU libarikiwe, karibu tujifunze Biblia, na leo tutajifunza umuhimu wa kuongeza nguvu za rohoni. Biblia inasema... Mithali…

ByNuru ya Upendo Jun 6, 2026

NAMI NITAMPA ILE NYOTA YA ASUBUHI.

Ufunuo  2:26 “Na yeye ashindaye, na kuyatunza matendo yangu hata mwisho, nitampa mamlaka juu ya mataifa, 27 naye atawachunga kwa…

ByNuru ya Upendo Jun 5, 2026

Biblia ina maana gani inaposema katika kuota kwao huutia mwili unajisi?

Yuda 1:7-8 Kama vile Sodoma na Gomora na miji iliyokuwa kando-kando, waliofuata uasherati kwa jinsi moja na hawa, wakaenda kufuata…

ByNuru ya Upendo Jun 3, 2026

USIGEUKE KWA KUUME WALA KWA KUSHOTO

Kama wewe ni msafiri utakuwa umegundua kuwa nyasi zilizopo katikati ya barabara zenye vumbi huwa haziathiriwi na tairi za gari.…

ByNuru ya Upendo Jun 3, 2026

UMEUFIKILIA MLIMA SAYUNI?.

Waebrania 12:22 “Bali ninyi mmeufikilia mlima Sayuni, na mji wa Mungu aliye hai, Yerusalemu wa mbinguni, na majeshi ya malaika…

ByNuru ya Upendo Jun 2, 2026

SHIKA JEMBE NA SURURU CHIMBA MAHANDAKI. 

2 Wafalme 3:16-17 Akasema, BWANA asema hivi, Fanyeni bonde hili lijae mahandaki.  Kwa kuwa BWANA asema hivi, Hamutauona upepo, wala…

Changia Huduma Hii

Wingu La Mashahidi Wa Kristo

Waebrania 12:1 "Basi na sisi pia, kwa kuwa tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi namna hii, na tuweke kando kila mzigo mzito, na dhambi ile ituzingayo kwa upesi; na tupige mbio kwa saburi katika yale mashindano yaliyowekwa mbele yetu,"

Mafundisho

Kutana na orodha ya mafundisho,mbalimbali,kulingana na mada kuanzia wokovu, Mungu, Roho Mtakatifu, kanisa, Siku za Mwisho n.k.

je! Una maswali yoyote kuhusu biblia?

Tovuti hii inakupa wigo wa kuuliza maswali, na pia kujifunza kwa kupitia maswali mengi yaliyojibiwa

You-tube

Kutana na mafundisho mbalimbali kwa njia ya video na sauti