Machapisho Mapya

NINA WATU WENGI KATIKA HUU MJI.
ByNuru ya Upendo Sep 21, 2026

NINA WATU WENGI KATIKA HUU MJI.

Ziara ya Paulo Korintho ilikuwa ya ukinzani sana, ambapo yamkini kama sio Mungu kumthibitishia neno lake, asingeendelea kubaki kwenye mji…

SI VEMA TUNAVYOFANYA HIVI.
ByNuru ya Upendo Sep 21, 2026

SI VEMA TUNAVYOFANYA HIVI.

Wale wakoma wanne (4), walipofika kwenye kambi ya washami na kujiokotea utajiri kwa jinsi walivyoweza, biblia inatuonyesha baadaye dhamiri zao…

MUNGU WAO NI TUMBO.
ByNuru ya Upendo Sep 21, 2026

MUNGU WAO NI TUMBO.

Utauliza je “tumbo” linaweza kuwa “mungu”? jibu ni Ndio, maandiko yanasema hivo.. Wafilipi 3:19 “mwisho wao ni uharibifu, MUNGU WAO…

TUJIFUNZE UNYENYEKEVU WA YOSHUA.
ByNuru ya Upendo Sep 18, 2026

TUJIFUNZE UNYENYEKEVU WA YOSHUA.

Jina la BWANA YESU libarikiwe, karibu tujifunze Biblia, Neno la MUNGU wetu, lililo taa na mwanga wa njia yetu (Zab.119:105).…

WATU WALIOINGIA  KAANANI, LAKINI SI NCHI YA AHADI.
ByNuru ya Upendo Sep 17, 2026

WATU WALIOINGIA  KAANANI, LAKINI SI NCHI YA AHADI.

Nuru ya UpendobibliayetuEdit Profile Wana wa Israeli walitoka kweli Misri, na Mungu akawaahidia kuwa mbele yao wamewekewa nchi njema ibubujikayo…

TUMIA MUDA VIZURI.
ByNuru ya Upendo Sep 16, 2026

TUMIA MUDA VIZURI.

Kitu pekee ambacho tumepewa na MUNGU kinachofanana kwa viumbe vyote ni “muda”..  Tunaweza tofautiana rangi, kimo, ukubwa, umri, utajiri, heshima,…

Changia Huduma Hii

Wingu La Mashahidi Wa Kristo

Waebrania 12:1 "Basi na sisi pia, kwa kuwa tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi namna hii, na tuweke kando kila mzigo mzito, na dhambi ile ituzingayo kwa upesi; na tupige mbio kwa saburi katika yale mashindano yaliyowekwa mbele yetu,"

Mafundisho

Kutana na orodha ya mafundisho,mbalimbali,kulingana na mada kuanzia wokovu, Mungu, Roho Mtakatifu, kanisa, Siku za Mwisho n.k.

je! Una maswali yoyote kuhusu biblia?

Tovuti hii inakupa wigo wa kuuliza maswali, na pia kujifunza kwa kupitia maswali mengi yaliyojibiwa

You-tube

Kutana na mafundisho mbalimbali kwa njia ya video na sauti