Mwanzo 1:1 “hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi”
“18 Maana Bwana, aliyeziumba mbingu, asema hivi; Yeye ni Mungu; ndiye aliyeiumba dunia na kuifanya; ndiye aliyeifanya imara; hakuiumba ukiwa, aliiumba ili ikaliwe na watu; Mimi ni Bwana, wala hapana mwingine. “.
Ufunuo 20:2 Akamshika yule joka, yule nyoka wa zamani, ambaye ni Ibilisi na Shetani, akamfunga miaka elfu;,
Mada zinazoendana:
SIKU YA BWANA INAYOTISHA YAJA!
AMIN! NAWAAMBIA KIZAZI HIKI HAKITAPITA!
About the author