Swali: Kuvuta Makasia maana yake nini?
Likiwa moja linatiwa ”Kasia”, yakiwa mengi ni “Makasia” … Hizi ni “Zana” ya kukisaidia chombo kutembea juu ya maji. Zana hii kwa mwonekano ni kama “Mwiko mkubwa”, (tazama picha juu), ambapo mabaharia walipoyavuta basi chombo kilisogea mbele..
Yona 1:13 “Lakini wale watu WAKAVUTA MAKASIA kwa nguvu, ili wapate kurudi pwani, wasiweze; kwa maana bahari ilizidi kuwachafukia sana”.
Unaweza kusoma Zaidi kuhusu makasia katika mistari ifuatayo; Marko 6:48, Yohana 6:19, Isaya 33:21, na Ezekieli 27:6.
Je ni nini tunajifunza katika habari ya Yona na mabaharia hawa kuvuta makasia kurudi pwani?.. Fungua hapa >>>YONA: Mlango 1
Shalom.
Pia kwa kupokea mafundisho ya kila siku kwa njia ya WHATSAPP, jiunge na channel yetu kwa kubofya link hii >> https://whatsapp.com/channel/0029VaBVhuA3WHTbKoz8jx10
Tafadhali shea na wengine ujumbe huu;
Pia Kwa maombezi/ Ushauri/ Maswali/ Whatsapp: Tuandikie katika BOXI la Maoni hapo chini au Piga namba hizi: +255789001312 au +255693036618
Mafundisho mengine:
YONA: Mlango wa 2
HAKUVAA NGUO SIKU NYINGI.
MADHARA YA KUTAFUTA ISHARA.
YONA: Mlango wa 3
YONA: Mlango wa 4
Rudi nyumbani
Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment.
Δ
Bwana Yesu akubariki kwa kutembelea tovuti ya Wingu la Mashahidi. Mchango wako utasaidia, kuifanya tovuti hii kuendelea kuwepo, pamoja na kusambaza mafundisho ya Neno la Mungu, umisheni, na injili kwa watu wengi. Kwa zaka yako/sadaka/shukrani utashiriki pamoja nasi kuipeleka injili kwa wengi zaidi.