MAANA YA MAJINA NA TAFSIRI ZAKE.

MAANA YA MAJINA NA TAFSIRI ZAKE.

Group la whatsapp Kwa mgawanyo bora wa masomo download App hapa>> App wingu la mashahidi

Kuna Roho inayofuatana na Majina, katika Maandiko tunaona watu wengi sana walibadilishwa majina yao, wengine wakati wa kuanza huduma au kabla ya kuanza huduma. Ibrahimu hapo kwanza aliitwa Abramu (Mwanzo 17:5), Sarai jina lake lilibadilishwa na kuitwa Sara, Yakobo jina lake lilibadilishwa na kuitwa ISRAELI. nk Kwahiyo ni Muhimu kujua maana ya majina kabla ya kumpa mtoto jina au kabla hujajipa jina.

Angalizo: Ukimpa Mtoto jina hata kama liwe zuri au lina tafsiri nzuri kiasi gani, kama mtoto huyo hatakuzwa katika malezi ya kumcha Mungu bado atakuwa mbaya tu, na akifa ataenda Jehanamu ya moto..

Kadhalika, mtoto anaweza akawa na jina lenye tafsiri isiyo njema, lakini kama atakuzwa katika Njia sahihi, hiyo haimzuii Mungu kumtumia, na jina lake kuwepo katika kitabu cha Uzima

Kwasababu majina yaliyopo katika kile kitabu cha uzima hayajaandikwa kulingana na tafsiri, bali kulingana na matendo!! Watakuwepo wengi wenye majina mazuri katika ziwa la Moto, na watakuwepo pia wengi wasio na majina mazuri Mbinguni Kwahiyo Jina pekee halimfanyi mtu au mtoto kuwa mzuri bali malezi pia ya kumcha Mungu….Na malezi sio tu kumpeleka kanisani kila jumapili, bali pia na kumfundisha Njia za Bwana kila siku hata akiwa nyumbani! huku mzazi ukionesha kielelezo cha kumcha Mungu.

https://www.high-endrolex.com/17

Lakini yote katika yote ni vizuri kumpatia mtoto jina lililo zuri na lenye tafsiri bora!

  • MAANA YA JINA YESU.

Hili ndio jina lenye “nguvu” kuliko majina yote, hakuna lililo juu ya hili, kwa vizazi vyote mpaka mwisho wa dunia, halitakuwepo lililo kuu zaidi ya hili maana ya jina hilo ni YEHOVA MWOKOZI, Hivyo Yesu ndiye mwokozi wa Ulimwengu. (Tafadhali; Usimpe mwanao, wala usijipe mwenyewe hili jina, kwasababu ni jina tukufu la Mwana wa Mungu)

  • MAANA YA JINA YOHANA au JOHN

Maana yake ni “Yehova ni mwenye Neema”..Asili ya hili jina ni kiyahudi, Yohana Mbatizaji aliitwa hili jina pamoja na Yohana Mwanafunzi wa Yesu, ambaye ni ndugu yake Andrea.

  • MAANA YA JINA LUKA

Maana yake ni “Mlukania” Lukania ni mahali palipokuwa kusini mwa Italy..ambapo tafsiri yake haijajulikana mpaka leo.

  • MAANA YA JINA MATHAYO

Tafsiri yake ni “Zawadi ya YEHOVA” Asili yake ni lugha ya Kiebrania

  • MAANA YA YA JINA PAULO

Maana yake ni “Mnyenyekevu”

  • MAANA YA JINA YEREMIA

Maana yake ni “Yehova atapandisha au atanyanyua”..Asili ya jina hili ni lugha ya kiebrania.

  • MAANA YA JINA AYUBU au JOB

Maana yake. Ni “Anayechukizwa au anayeonewa” asili yake ni lugha ya kiebrania.

  • MAANA YA JINA SAMWELI

Maana yake “Mungu amesikia” asili yake ni lugha ya kiebrania.

  • MAANA YA JINA PETRO

Tafsiri yake ni jiwe dogo, kama la kurusha, asili ya jina hili ni lugha ya kigiriki.

  • MAANA YA JINA NEEMA au GRACE

Maana ya Neema, ni upendeleo wa kipekee ambao mtu au kitu kinaweza kupata, upendeleo huo hauna chanzo/sababu maalumu. Mungu pekee ndiye anayetoa Neema.

  • MAANA YA JINA ETHAN

Tafsiri yake ni “Aliye Imara, Thabiti” Asili ya jina hili ni lugha ya Kiebrania, katika Biblia alionekana Ethan mtu wa hekima katika Zaburi ya 89

  • MAANA YA JINA IVAN

Ivan na Yohana ni jina moja, isipokuwa kwa Ivan limewekwa kwa lugha ya kirusi ya sasa, lakini ni hilo hilo Yohana, ambalo tafsiri yake ni “Yehova ni mwenye Neema”

  • MAANA YA JINA CHARLES

Jina Charles limetokana na neno la kijerumani “karl” lenye tafsiri ya “mwanamume”.

  • MAANA YA IRENE

Jina Irene limetokana na neno la kigiriki “Eirene”…lenye maana ya “AMANI”

  • MAANA YA JINA CAROLINA

Jina Carolina au Caroline tafsiri yake ni “Mwanamke kwa kiingereza woman”. kwa jinsia ya kiume ni Carlos, au Charles

  • MAANA YA JINA CAREEN au CARREEN

Jina Careen ni mchanganyiko wa majina mawili (CAROLINA na IREEN). Maana ya Irene ni “Amani”, na Caroline ni “Mwanamke”. Kwahiyo tafsiri yake ni “Mwanamke wa Amani”

Group la whatsapp  Kwa mgawanyo bora wa masomo download App hapa>> App wingu la mashahidi

Pia kwa Maombezi, Ushauri, Maswali au Ratiba za Ibada Wasiliana nasi kwa namba

+225693036618/ +225789001312

Pia unaweza ukapata mafundisho haya Kwa njia ya Whatsapp yako, jiunge na channel yetu Kwa kubofya hapa >> WHATSAPP


Mada Nyinginezo:

JINA LAKO NI LA NANI?

JINA LA MUNGU NI LIPI?

USILITAJE BURE JINA LA BWANA!


[embedyt] https://www.youtube.com/embed?listType=playlist&list=PLIIhnDzXkeEcXSNPlq09Q5yonU3MOLI0h&v=DWFSX1GfuC8&layout=gallery[/embedyt]

Rudi Nyumbani:

Print this post

About the author

Admin administrator

Subscribe
Notify of
guest
87 Comments
Newest
Oldest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Prisca
Prisca
9 months ago

Naomb kujua maan ya jina la prisca

Anonymous
Anonymous
10 months ago

Jina la levokatusi manaake nini

Ron
Ron
11 months ago

RON nisaidie maana ya jina hiri ron

Nicholaus
Nicholaus
1 year ago

Maana ya jina Nicholaus na chimbuko lake

Rahabu
Rahabu
1 year ago

Leave your messag
Maana ya jina dickson,aiden,disheni

Grace
Grace
1 year ago

Nin maana ya jina givani

Anonymous
Anonymous
9 months ago
Reply to  Grace

Anonymous
Anonymous
1 year ago

Naomba kufahamu maana ya neno EVAS

Anonymous
Anonymous
1 year ago

maana ya oliver

Edgar
Edgar
1 year ago

Tumsifu yesu kristo pia mungu akubaliki kwa kujitolea m naomba kujua maana ya jina. Edgar. Adalia na glasiano

joel
joel
1 year ago

Naitaji kujua tafsiri ya jina joel

Gwisu kuzenza weja
Gwisu kuzenza weja
1 year ago

I’w wanna know the meaning of gwisu

Issack
Issack
2 years ago

Maana ya meshack,shadrack,na Abednego

Anonymous
Anonymous
2 years ago

Bryson

Anonymous
Anonymous
2 years ago

Maana ya elis na elivis

Ritch
Ritch
2 years ago
Reply to  Anonymous

Ni nani aliyemuza ndugu yake Joseph.

Anonymous
Anonymous
1 year ago
Reply to  Ritch

Nn maana ya jina ivan

a melody
a melody
2 years ago

naomb nifaham maana ya jina amos

MAURICE
MAURICE
3 years ago

Maana ya jina MAURICE, MORISHO. Kazi njema kwa utafiti wako

Anonymous
Anonymous
3 years ago

Hellow naomba kujua maana ya Travis & Privian

Aniceth
Aniceth
3 years ago

Samahan naomba kujua maana ya jina Anicia

Happy Kayira
Happy Kayira
2 years ago
Reply to  Aniceth

Naomba kujua maana ya Jina Atnes

Scola
Scola
3 years ago

Naomba kujua maana na asili ya jina la Scola na Julieth

Jeremia
Jeremia
3 years ago

Maana ya dylan,Kayden caiden

Dalvina
Dalvina
3 years ago

Maana ya Ivan

Mwaro Mangi
Mwaro Mangi
3 years ago

Asante kwa utafiti naomba kujua maana ya Julius,Enock,Dorcus,Ivy

Gration
Gration
3 years ago

GRATION

Anonymous
Anonymous
3 years ago

habr? naomba kujua maana za majna yafuatayo,elia,briht,denice,nova

Furaha Thadei
Furaha Thadei
2 years ago
Reply to  Anonymous

Habari, naomba kujua maana ya marina Larson na Lewis.

Joshua kihongosi
Joshua kihongosi
3 years ago

Naomba kujua maana ya jina “Mwadina”

Anonymous
Anonymous
1 year ago

Naomba kujua maana ya Jina AGNESS

lunice
lunice
3 years ago

Ubarikiwe kwa kujitoa kwako naomba kujua maana y jina lulu

Wagumba Jr.III.
Wagumba Jr.III.
3 years ago

please provide me with the meaning of the name
Dianna, Iscka, Javeline, Deborah, Quinter, Yunis

Anonymous
Anonymous
3 years ago

Naomba kujua maana ya Jonathan

Babrah
Babrah
3 years ago

Naomba kujua maana ya jina babrah

gerald
gerald
3 years ago

maana ya jina Gerald ni ipi?

Anonymous
Anonymous
3 years ago

maana ya jina Gerald ni ipi?

Festo
Festo
3 years ago

Naomba kujua maana ya jina grace

Zamda
Zamda
1 year ago
Reply to  Festo

Nini maana ya jina la zamda

Rose
Rose
3 years ago

pia naomba kujua na asili yake

Rose
Rose
3 years ago

Naomba kujua maana ya jina Rose.

Alfred
Alfred
3 years ago

naomba maana ya jina la alfred

Anonymous
Anonymous
1 year ago
Reply to  Admin

Albert maana yake nini?

Seleman Shimbi
Seleman Shimbi
1 year ago
Reply to  Admin

Habari yako nahitaji kujiunga katika group zenu za WhatsApp au telegram

irene daudi
irene daudi
3 years ago

tumsifu yesu kristo ni ngependa kujua maan ya majina ya fuatayo etropia, francis, na avelina

Evabrayna
Evabrayna
3 years ago

Evabrayna

Stella Patrick
Stella Patrick
3 years ago
Reply to  Evabrayna

Habari za kazi! napenda kujua maana ya jina Leonora na Leonia

Anonymous
Anonymous
3 years ago
Reply to  Evabrayna

meaning of evabrayna

Lil preyne
Lil preyne
3 years ago

Ninzur ningependa kujuwa maana hilijina

Anonymous
Anonymous
3 years ago
Reply to  Admin

Dostea,Nathan,Erick,nathanael

Bonny Minja.
Bonny Minja.
1 year ago
Reply to  Anonymous

Naomba kujua maana ya jina Adriel

Prince
Prince
1 year ago
Reply to  Bonny Minja.

Naomba kujua maana ya jina Adriel

Daniel
Daniel
3 years ago
Reply to  Admin

Ian

Anonymous
Anonymous
3 years ago
Reply to  Admin

Gabriel

Juma
Juma
3 years ago
Reply to  Anonymous

Maana ya jina dolina

Anonymous
Anonymous
3 years ago
Reply to  Admin

Maana ya jina zainabu,majidi

Anonymous
Anonymous
3 years ago
Reply to  Admin

Joshua

Edgar luwowo
Edgar luwowo
3 years ago
Reply to  Admin

Vivian

Yohana
Yohana
10 months ago
Reply to  Admin

Naomba kujua maana ya jina abineri

Evarest
Evarest
3 years ago
Reply to  Admin

Evarest

Neithan
Neithan
3 years ago
Reply to  Admin

Neithan

Kawiye sangola
Kawiye sangola
3 years ago
Reply to  Admin

Napenda kujua maana ya jina Neithan na Nelson

Elikana Budeba Mchele
Elikana Budeba Mchele
3 years ago
Reply to  Admin

Maana ya jina elikana

Anonymous
Anonymous
2 years ago

Vivani

Anonymous
Anonymous
2 years ago
Reply to  Admin

Fainensi

Anonymous
Anonymous
2 years ago
Reply to  Admin

Kalebu ivan

Anonymous
Anonymous
2 years ago
Reply to  Admin

Nataka kujua maana ya jina munaalfa

Emmanuel
Emmanuel
2 years ago
Reply to  Admin

Naomba kujua maana ya jina Agnes, na chimbuko lake.