Machapisho Mapya

ByNuru ya Upendo Jan 23, 2026

SHUKURU, ITA NA JULISHA.

Labda unaweza kujiuliza maana yake nini maneno haya, tusome Zab.105:1 Zaburi 105:1 “Haleluya. Mshukuruni BWANA, liitieni jina lake, Wajulisheni watu matendo yake”.…

ByNuru ya Upendo Jan 22, 2026

WATU HAWA WALIOUPINDUA ULIMWENGU WAMEFIKA HUKU NAKO

Kama tunavyofahamu katika maandiko Mitume walipofika mji wa Thesalonike kwa ajili ya injili, na kukutana na wenyeji wa mji ule,…

ByNuru ya Upendo Jan 20, 2026

MPE MUNGU MAJUTO YAKO.

Kila mwanadamu maadamu amezaliwa na kuishi duniani, ndani yake lazima kuna kiwango tu cha majuto.. Wengine wana majuto makubwa sana,…

ByNuru ya Upendo Jan 20, 2026

Hasimu ni nani? (Isaya 50:8).

Jibu: Turejee.. Isaya 50:8 “Yeye anipatiaye haki yangu yu karibu; ni nani atakayeshindana nami? Na tusimame pamoja; ni nani aliye…

ByNuru ya Upendo Jan 19, 2026

NI KIPI KINAKULEWESHA?.

Je Mkristo, anapaswa KULEWA?.. Jibu ni NDIO! Anapaswa alewe lakini si kwa MVINYO (yaani kwa pombe)... bali kwa ROHO MTAKATIFU.…

ByNuru ya Upendo Jan 16, 2026

TUNASHINDA NA ZAIDI YA KUSHINDA

Warumi 8:37 “Lakini katika mambo hayo yote tunashinda, na zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda” Upo ushindi, lakini pia Upo…

Changia Huduma Hii

Wingu La Mashahidi Wa Kristo

Waebrania 12:1 "Basi na sisi pia, kwa kuwa tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi namna hii, na tuweke kando kila mzigo mzito, na dhambi ile ituzingayo kwa upesi; na tupige mbio kwa saburi katika yale mashindano yaliyowekwa mbele yetu,"

Mafundisho

Kutana na orodha ya mafundisho,mbalimbali,kulingana na mada kuanzia wokovu, Mungu, Roho Mtakatifu, kanisa, Siku za Mwisho n.k.

je! Una maswali yoyote kuhusu biblia?

Tovuti hii inakupa wigo wa kuuliza maswali, na pia kujifunza kwa kupitia maswali mengi yaliyojibiwa

You-tube

Kutana na mafundisho mbalimbali kwa njia ya video na sauti