Machapisho Mapya

ByNuru ya Upendo Feb 12, 2026

KUMBUKA NI AMRI MPYA!

Yohana 13:34 Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo.  Hapo mwanzo nilipokuwa nautafakari huu mstari,…

ByNuru ya Upendo Feb 9, 2026

LAKINI DAUDI ALIJITIA NGUVU KATIKA BWANA, MUNGU WAKE.

1 Samweli 30:6 Naye Daudi akafadhaika sana; kwa sababu watu walikuwa wakisema kwamba apigwe kwa mawe, kwa maana nafsi za…

MGEUZWE WATOTO WACHANGA
ByNuru ya Upendo Feb 4, 2026

KATIKA UOVU MGEUZWE WATOTO WACHANGA

1Wakorintho 14:20 “Ndugu zangu, msiwe watoto katika akili zenu; lakini katika UOVU MGEUZWE WATOTO WACHANGA, bali katika akili zenu mkawe…

UFANYE BIDII KATIKA KUSOMA.
ByNuru ya Upendo Jan 28, 2026

UFANYE BIDII KATIKA KUSOMA.

1Timotheo 4:13 “Hata nitakapokuja, ufanye bidii katika KUSOMA, Kuonya na Kufundisha”. Wakristo wengi hawapendi “KUSOMA” wanapenda “kusomewa”.. hawapendi “Kujifunza” wanapenda…

ByNuru ya Upendo Jan 26, 2026

WOKOVU UKIHARAKISHA USIUZUIE.

Wokovu ni kama farasi ambaye ana uwezo wa kusafiri kwa mwendo wa kasi sana au kwa mwendo wa taratibu sana,…

ByNuru ya Upendo Jan 23, 2026

SHUKURU, ITA NA JULISHA.

Labda unaweza kujiuliza maana yake nini maneno haya, tusome Zab.105:1 Zaburi 105:1 “Haleluya. Mshukuruni BWANA, liitieni jina lake, Wajulisheni watu matendo yake”.…

Changia Huduma Hii

Wingu La Mashahidi Wa Kristo

Waebrania 12:1 "Basi na sisi pia, kwa kuwa tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi namna hii, na tuweke kando kila mzigo mzito, na dhambi ile ituzingayo kwa upesi; na tupige mbio kwa saburi katika yale mashindano yaliyowekwa mbele yetu,"

Mafundisho

Kutana na orodha ya mafundisho,mbalimbali,kulingana na mada kuanzia wokovu, Mungu, Roho Mtakatifu, kanisa, Siku za Mwisho n.k.

je! Una maswali yoyote kuhusu biblia?

Tovuti hii inakupa wigo wa kuuliza maswali, na pia kujifunza kwa kupitia maswali mengi yaliyojibiwa

You-tube

Kutana na mafundisho mbalimbali kwa njia ya video na sauti