Asante kwa kutembelea Tovuti yetu, Maono yetu makuu ni kuisambaza injili ya Bwana wetu Yesu Kristo ili wokovu uwafikie watu wote ulimwenguni kote, sambamba na hilo tumelenga kutoa maarifa ya Neno la Mungu, kufuatana na mada mbalimbali katika biblia.
Kwa mchango wako, utawezesha kazi hii ya Bwana kuendelea mbele, na tunachoamini ni kuwa mmoja hupanda mwingine hutia maji, lakini mkuzaji ni Mungu. Hivyo kwa matunda yazaliwayo kwa kupitia huduma hii, thawabu yetu ni moja mbinguni.
Waweza changia kupitia namba hizi:
Au
Bwana akubariki.
baruapepe(email) >> Info@wingulamashahidi.org
Shalom!
Shalom watumishi wa Mungu, sijajua kama ukurasa hui ni mahali sahihi pa kuuliza swali au la!, Natanguliza samahani kama nta kuwa nime kosea. Swali langu ni je, kuna haja ya Mtu aliye okoka kweli kweli, kufanya maombi ya kujikomboa na laaana na vifungo ( mfano vifungo/laana za ukoo,mizimu ushirikina,maangano, uchawi wa mafundo au laana zozote zile ua ushirikina wowote uliofanyika juu yako kabla ya kuokoka.n.k)?? Maana Nikisoma haya maandiko: (Luka4: 17-19) (Yohana 1:12), ( 2,wakoritho 5:17), 1petro 1: 18- 19), Wakolosai( 2:13-15) ( Yakobo4:7), ( 1Yohane 3: 3-9) napata shida na hizi ibada za maombi ya namna hiyo, ikiwa nguvu ya msalama ime tufanya huru m.hayo maombi yana kazi gani tena..!? Huku ikifahamika wazi dhambi ndo mlago wa shetani kwa mtu..? Naomba mni saidie nikue kiroho..maana kweli napata shida napo ona maombi haya nisije nikawa nakosea..Asante sana Mungu wabariki sana kwa jina la Yesu
About the author